Search

215 results for Emmanuel Msabaha :

  1. Rais Samia aigusa Tanesco, atengua wengine watatu

    Wakati changamoto ya upatikanaji wa umeme nchini ikiendelea kushika kasi, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya viongozi wa Shirika la Umeme (Tanesco) pamoja na utenguzi na uteuzi wa...

  2. PRIME Abdul Writer: ‘Kombolela’, ‘Mama Kimbo’ Akili nyingi ya uandishi

    “Niliitwa na mkuu wa Idara, Dk Chacha, wakati huo taarifa zimeanza kusambaa kuwa nimeandika barua ya kuacha chuo, nilianza kuacha kuingia darasani, wengi walishangaa naacha boom (mkopo) na kila...

  3. PRIME Tamu, chungu kuibuka kwa mitandao mipya ya kijamii

    Dunia inazidi kushuhudia mabadiliko ya sayansi na teknolojia ambayo huja na vumbuzi mbalimbali.

  4. Mlipuko wa Surua wahofiwa katika nchi za Sudan

    Mashirika ya afya katika Jimbo la White Nile lililopo mpakani mwa nchi za Sudan na Sudan kusini, yamesema takriban watoto 13 wamefariki katika muda wa wiki moja iliyopita kufuatia mlipuko...

  5. Rais Ramaphosa atua DRC ziara ya siku mbili

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amewasili jijini Kinshasa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa ziara rasmi ya siku mbili ambapo atafanya mazungumzo na mwenyeji wake...

  6. ‘Tulisota wiki nzima kumuona P Funk Majani’

    Akiwa kidato cha pili, Domokaya anasema alirekodi wimbo akiwa na rafiki yake, Furaha Haleluya, hiyo ilikuwa ni kabla ya kukutana na Mandojo, wimbo ambao ulimpa misukosuko shuleni.

  7. PRIME Safari ya Domokaya na Mandojo kwenye muziki

    Walitamba na staili yao ya gitaa, kolabo ya Domokaya na Mandojo iliteka soko la muziki wa Bongofleva nchini mwanzoni mwa miaka ya 2000, hivi sasa Mandojo amejikita kwenye biashara, mwenzake...

  8. Mnyika awataka wananchi kuendeleza mapambano Katiba mpya

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amewataka wananchi kuendeleza mapambano ya kupatikana katiba mpya itakayowapa nguvu ya kuiwajibisha Serikali.

  9. PRIME Bado ni vuta nikuvute mkataba uwekezaji bandari

    Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa mkataba wa makubaliano ya uendeshaji na uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam, huku ikisema kwamba, itasaidia kuongeza ufanisi na kukuza pato la Taifa.

  10. PRIME Mandojo alivyotumia fursa ya machinga kuondolewa barabarani

    Katika muendelezo wa makala hii, Mandojo ameeleza namna alivyopitia changamoto za hapa na pale, lakini ndoto yake kubwa ya kufanya biashara haikuwahi kufa.

Page 1 of 22

Next